Image post
Instagram

@vsoicstanzania returned volunteers @glory_mtonga @Dorabella_ mystique @dee_romado volunteered in Bukoba, Zanzibar and Iringa. Conducted ACTION AT HOME in Morogoro at Kola Hill Secondary school as part of their volunteering journey the focused on the issues of early pregnancies, Safe menstruation, early career planning and importance of volunteering. We had interactive talk session on the causes effect and solution of early pregnancy, goal setting and early career planning , safe menstruation and related disease. . . Vijana wa kujitolea wa shirika la @vsoicstanzania waliojitolea katika mradi wa ICLP Bukoba, VNA Zanzibar na Iringa. Walifanya action at home mkoani Morogoro ikiwa sehemu ya kujitolea, wakiongelea kuhusu maswala ya mimba za utotoni, hedhi salama, umuhimu wa kujitolea na kujiwekea malengo mapema. katika shule ya sekondari ya Kola Hill, Chanzo na athari na namna ya kuepusha mimba za utotoni, jinsi ya kuweka malengo na umuhimu wa kujitolea.. . 📌 Reposted from @nyentanzania #NYENTanzania #ICS4Change - #regrann #earlypregnancy #adolescentpregnancy #schoolprojects #girlcenteredproject #activisttanzania